Elections 2010 Matokeo Sahihi - kutoka vituoni

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Wana JF

Kumekuwa na post nyingi zinazoeleza juu ya uchakachuaji uliyofanywa na CCM katika uchaguzi huu, sasa tunapoeleza kwamba data hizi si sahihi ingekuwa busara kama tungeonyesha zile ambazo ni sahihi.

Sasa ombi langu hapa jamvini ningeomba kama kuna wana JF walirekodi matokeo ya kituo alichopiga kura tungeomba kuwakilisha kituo kwa kituo, kata kwa kata na hata kujumuisha jimbo na tuweze kupata ulinganifu.
 
unatakiwa kwenda na wakati mzee! tazama TV LIVE KIKWETE anatangazwa kuwa mshindi! hizo data zako kaa nazo mwenyewe ebo!
 
Back
Top Bottom