Matokeo Sahihi - kutoka vituoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo Sahihi - kutoka vituoni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mgombezi, Nov 5, 2010.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wana JF

  Kumekuwa na post nyingi zinazoeleza juu ya uchakachuaji uliyofanywa na CCM katika uchaguzi huu, sasa tunapoeleza kwamba data hizi si sahihi ingekuwa busara kama tungeonyesha zile ambazo ni sahihi.

  Sasa ombi langu hapa jamvini ningeomba kama kuna wana JF walirekodi matokeo ya kituo alichopiga kura tungeomba kuwakilisha kituo kwa kituo, kata kwa kata na hata kujumuisha jimbo na tuweze kupata ulinganifu.
   
 2. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,267
  Likes Received: 2,039
  Trophy Points: 280
  unatakiwa kwenda na wakati mzee! tazama TV LIVE KIKWETE anatangazwa kuwa mshindi! hizo data zako kaa nazo mwenyewe ebo!
   
Loading...