Lowasa ameshindwa uchaguzi fair and square kwa sababu hakuweza kusafishwa kwa mwezi moja baada ya kukatwa CCM. Alikatwa kwa sababu Watanzania bado wana uchungu na ule ufisadi wake wa Richmonduli. Achilia mbali kushindwa kujibu tuhuma za mwalimu kwamba yeye ni fisadi ambaye amejipatia utajiri kwa njia zisizo julikana. Hivyo basi wengi tulipiga kona baada ya Mbowe kutuuzia Lowasa na kumtosa Slaa.
Ni kweli aiseee