Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Lowasa ameshindwa uchaguzi fair and square kwa sababu hakuweza kusafishwa kwa mwezi moja baada ya kukatwa CCM. Alikatwa kwa sababu Watanzania bado wana uchungu na ule ufisadi wake wa Richmonduli. Achilia mbali kushindwa kujibu tuhuma za mwalimu kwamba yeye ni fisadi ambaye amejipatia utajiri kwa njia zisizo julikana. Hivyo basi wengi tulipiga kona baada ya Mbowe kutuuzia Lowasa na kumtosa Slaa.

Ni kweli aiseee
 
Ndugu Ole utakuwa mwana ukawa.ni sahihi kabisa ulichosema.kuwa wakati wa upigaji kura wengi wa wanachadema na ukawa walipiga kona .hawakumpigia lowasa sababu ya kuondolewa wapenzi wao kwenye nyadhifa, kutoshirikishwa maamuzi mbalimbali.migogoro wa nani agombee (sio urais) ubunge au udiwani kati ya chadema na ukawa.mm nimeshuhudia wanaukawa wanasema 'tumejenga chama miaka yote iweje wakubwa walete mtu mwingine eti ni wa chama maarufu.bora kura tumpe ccm.'mbowe alisema 'ni mambo madogo tutayamaliza'hii ya mwisho imetumika sana.kwenye mikutano yupo lakini kura ni siri yake.tusitafute mchawi , ni wenyewe mmejiroga.ss kaeni mpange mikakati upya.yaliyopita si ndwele.kususa sio uungwana.2010 kuna chama kilisusa mambo yakaendelea. Kuna msemo ukisusa wenzio wanakula.
 
Mpumbavu na lofa si mimi. Mpumbavu na lofa ni wewe unaesota hapo bongo kwenye lindi la umaskini huku ukishangalia watu wakipiga hela za wananchi .. Watanzania tuna safari ndefu..

Ni taabu kweli kweli.watu wamegeuzwa condom na wameridhika.any way nayo ni demokrasia.furaha ya wiki mateso ya miaka mitano tena.fulana na kofia zikichakaa sijui nani atanunua tena nyingine?!
 
Ni taabu kweli kweli.watu wamegeuzwa condom na wameridhika.any way nayo ni demokrasia.furaha ya wiki mateso ya miaka mitano tena.fulana na kofia zikichakaa sijui nani atanunua tena nyingine?!

Remember what Donald Trump said ....,...

H
Maana hawa hawakomboleki nimesha waelimisha hawa elewi hata kidogo
 
Mwaka 2010 mliharibu kura 2015 mkakata kona 2015
Mtapotea njia badala ya kupiga kura mnaenda klabu ya wanaume wenzenu
 
Mwaka 2010 mliharibu kura 2015 mkakata kona 2020
Mtapotea njia badala ya kupiga kura mnaenda klabu ya wanaume wenzenu
 
tafadhali mtu mmoja ajumlishe kura za magufuli na lowasa halafu aangalie idadi ya waliopiga kura
 
Katika matokeo ya Tume, Mh. Rais Magufuli alipata kura 58.46% na Lowassa kura 39.97%, wewe unaweza kutoa tafsiri gani?
 
Back
Top Bottom