Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Kwa kweli tunamshukuru Mungu kwa kumuibua huyu Musa, tunaamini kwa uwezo wa Mungu atatuvusha

Tanzania ni ajabu la 8 la Dunia nawewe unaamini kwamba Magufuli anajipya lakufanya akiwa huko CCM....Tunawatakiwa matumaini mema
 
Ushauri kwa Ed.usidandie vyama vya wenyewe.kama kweli una uchungu na watanzania kwa jinsi walivyo.anzisha chama chako.tuone sera ndio ushawishi kwetu wadau.
 
Nijuzeni jamani kinjekitile ngombalemwiru yu wapi leo ?????hali yake vipi.????atakuwa anakimbia kivuli chake.alisema ccm imekufa.imeishiwa pumzi.kizee wewe aibu imekukumba kashauri ng'ombe monduli.unajidai huna dini....huo ushetani sio dini.ccm imekulea hadi meno yamekwisha kumudomo leo ya aje.unalo babuuuuu.ulibebe sd.ccm mbele kwa mbele tuuuuu.
 
Eewaaa sawa kabisa.

Hata angeshinda Fahmi Dovutwa ingekuwa hivyo hivyo tu.

Kwa hiyo, haijalishi nani katangazwa mshindi na nani kashindwa.

Kwa mazingira haya ya sasa, hakuna uchaguzi ulio wa huru, haki, na wazi, mwanzo mwisho.

Uchaguzi ulikuwa huru na haki, Lowasa kashindwa kwelikweli, hata yy anajua hilo ila kwa sababu ni mzee wa dili alidhani kuwa ataupata kwa dili, leo anasema tume si huru mbona na yy alikuweko huko, sasa na yy asikie uchungu wa kushindwa kama wengine, na mbona wabunge wa ukawa walopata ubunge -wamesaini kupokea matokeo?
 
Poleni sana. Nchi inaondoka hiyo. Kama mlizoea kula bure kupitia ccm ulaji utakatika soon. Eti unajenga taifa naamini asilimia 95 ya vijana wanaishabikia ccm ni kula kulala na watu wa kujipendekeza.

Umejiona ulivyo lofa na mpumbavu?
 
Lowasa ameshindwa uchaguzi fair and square kwa sababu hakuweza kusafishwa kwa mwezi moja baada ya kukatwa CCM. Alikatwa kwa sababu Watanzania bado wana uchungu na ule ufisadi wake wa Richmonduli. Achilia mbali kushindwa kujibu tuhuma za mwalimu kwamba yeye ni fisadi ambaye amejipatia utajiri kwa njia zisizo julikana. Hivyo basi wengi tulipiga kona baada ya Mbowe kutuuzia Lowasa na kumtosa Slaa.
 
Kitu ambacho wanafanikiwa CCM ni jinsi wanavyofanikiwa kukaririsha Bongolala kama wewe hivi Umewahi kujiuliza khs ESCROW watu walipokuwa wanagawana Pesa kwenye Viroba Stanbic
 
Kitu ambacho wanafanikiwa CCM ni jinsi wanavyofanikiwa kukaririsha Bongolala kama wewe hivi Umewahi kujiuliza khs ESCROW watu walipokuwa wanagawana Pesa kwenye Viroba Stanbic

Ama kweli hawa bongolala eeehh duuuu .....u
Tuendelee tuu na maisha ndugu maana watu wana pawa zao
 
Kitu ambacho wanafanikiwa CCM ni jinsi wanavyofanikiwa kukaririsha Bongolala kama wewe hivi Umewahi kujiuliza khs ESCROW watu walipokuwa wanagawana Pesa kwenye Viroba Stanbic

Escrow na Richmonduli zina tofauti gani?
 
Back
Top Bottom