Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Teh teh teh upepo unaanza kubadilika wingi wa watu kwenye mikutano sio wingi wa watu kukupigia kura!

Kwani ulitegemea ngome za CCM kama hizo matokeo yangekuwa tofauti na hayo? That is Zanzibar, usisahau kuna ngome kuu mbili Unguja na Pemba...... Ngoja upande wa pili zamu ya matokeo ifike.... Mark my words
 
Umeona eeeh NEC wanacheza mind games wanatangaza sehemu magufuli anapoongoza tu but dar arusha kili mbeya iringa bkoba hawatangzi kabs
 
Makubwa hay o majimbo,mtwara au lindi😩😩😩😩😩
 
Lakini tunasikia kituo cha kuhesabia kimepata wageni kutoka makao makuu ya polisi
 
Tume imeanza kutangaza matokeo halisi ya urais kutoka kwenye majimbo kadri wanavyoyapokea, ambapo hadi sasa tayari matokeo ya majimbo matatu yameshatangazwa yakionyesha John Pombe Magufuli anaongoza.

Kwa upinzani makini ni wakati mwafaka muwe mnatoa tathimin ya matokeo hayo. Tathmini yenu ijikite kuhakiki matokeo ya tume na yenu mliyokuwa mnakusanya.

Kuna faida mkuu mbili,

Mosi; kuifanya tume iwe makini na kuto-temper na matokeo kwa vile watajua kuwa endapo watatangaza kinyume mtawaumbua.

Pili: kuwaaminisha wafuasi wenu kuwa kura walizowapeni ziko kwenye mikono salama.

Good lucky.

Mkuu uko sahihi kabisa!.
Kama walivyoahidi awali
Tumaini Makene
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeh NEC wanacheza mind games wanatangaza sehemu magufuli anapoongoza tu but dar arusha kili mbeya iringa bkoba hawatangzi kabs

mkuu utatangaza kitu ambacho hujapokeo
vuta subira watatangaza
 
Kwani ulitegemea ngome za CCM kama hizo matokeo yangekuwa tofauti na hayo? That is Zanzibar, usisahau kuna ngome kuu mbili Unguja na Pemba...... Ngoja upande wa pili zamu ya matokeo ifike.... Mark my words

Nakuhakikishia upande wa pili ngome ya upinzani matokeo yatakuwa kama hayo... mark my words na mjiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom