Elections 2010 Matokeo rasmi jimbo la SIHA.....CCM kidedea.............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Rafiki yangu wa karibu Mhandisi Tuni Abraham Humphrey kanipigia simu sasa hivi kuwa mpinzani wake wa CCM ambaye ni Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa katangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi.............

CCM............64%

CHADEMA...............36%

Hata hivyo mhandisi Tuni kaniambia ya kuwa wamepinga matokeo kwa sababu CCM walinunua shahada na wanao ushahidi na wapigakura walikuwa jioni hii wakiandamana kupinga matokeo............HUU NI UKWELI SIONI MGOMBEA KWA NINI AJITANGAZE KASHINDWA..................

Ile YA CHADEMA ndani ya Jumba la Manispaa ni ukweli ingawaje wahusika hawajatoka kuwajulisha matokeo...........Inasemekana CCM baada ya matokeo kujumlishwa tena hawayakubali wanataka hata maboksi yafunguliwe na Msimamizi hana mamlaka hayo.......ila kwa amri ya mahakama.
 
Back
Top Bottom