Hii ni aibu kwa nchi, tume, na watawala wote!nakumbuka hadi kufika huu mda zambia walakuwawashatangaza na rupia banda alikuwa ashatoa hotuba ya shukhrani!iweje kisehemu tu cha nchi ambacho jiografia yake haiko kiivyo matokeo bado??
Nahisi kila mtanzania anajua saa nane ni wakati gani..
Inakuaje tume ituambie watatangaza matokeo muda huo lakini hadi sasa sioni lolote likiendelea?
Hii tume vipi?
Hii nchi kweli hakuna kitu mara matokeo mpaka saa 5 leo mpaka saa 8 kitaeleka leo najua chichim ingekuwa imeshika kata nyingi ungekuta wameshatangaza lakini kwakuwa cdm ndiyo wako juu ndiyo inawapa shida waangalizi mlioko huko igunga msiogope hiyo mibomu ya machozi wala washawasha huku arusha tu nayasubiria kwahamuu kubwaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.