Elections 2010 Matokeo mkoani Tabora - Sitta anaelekea kushinda, Prof. Lipumba hoi, Rage nae...

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Mdau wa Tabora amenipasha kuwa Sitta anaelekea kushinda kwa Kishindo Urambo mashariki, Prof. Kapuya hali yake mbaya huko Kaliua ana mchuano mkali na CHADEMA, Rage anaelekea kushinda kwa kishindo Tabora mjini, Rostam anapumulia machine ICU
 
Sita sitamsahau kajijengea ofisi ya speaker kwao kwa 500mil sasa sijui asipochaguliwa kuwa speaker itabomolewa!
 
Mdau wa Tabora amenipasha kuwa Sitta anaelekea kushinda kwa Kishindo Urambo mashariki, Prof. Lipumba hali yake mbaya huko Kaliua ana mchuano mkali na CHADEMA, Rage anaelekea kushinda kwa kishindo Tabora mjini, Rostam anapumulia machine ICU

Hiyo yenye red kama ni kweli itakuwa safi sana.
 
Mdau wa Tabora amenipasha kuwa Sitta anaelekea kushinda kwa Kishindo Urambo mashariki, Prof. Lipumba hali yake mbaya huko Kaliua ana mchuano mkali na CHADEMA, Rage anaelekea kushinda kwa kishindo Tabora mjini, Rostam anapumulia machine ICU

Mfukunyuzi,
Kwa Kaliua nadhani ulikuwa unamaanisha Prof Juma Kapuya na si Lipumba.........!!!
 
Mdau wa Tabora amenipasha kuwa Sitta anaelekea kushinda kwa Kishindo Urambo mashariki, Prof. Lipumba hali yake mbaya huko Kaliua ana mchuano mkali na CHADEMA, Rage anaelekea kushinda kwa kishindo Tabora mjini, Rostam anapumulia machine ICU

Oppppssss:crutch::crutch:
 
Mfukunyuzi hii ya Rostam kweli!!! Naona wananchi wamechonshwa na mafisadi hawa!!!:yield:
 
Mdau wa Tabora amenipasha kuwa Sitta anaelekea kushinda kwa Kishindo Urambo mashariki, Prof. Kapuya hali yake mbaya huko Kaliua ana mchuano mkali na CHADEMA, Rage anaelekea kushinda kwa kishindo Tabora mjini, Rostam anapumulia machine ICU
That in red is most important of all, if at all is true!:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Hiyo taito rekebisha kidogo manake umeandika lipumba badala ya kapuya!

Hiyo ni sawa na yale ya NEC kujidai wamekosea kuyapoteza baadhi ya majina ya wapiga kura wakati ilikuwa ni plan yao kupunguza vijana ku'vote'!
Lipumba akiiona hatamsamehe!
 
Back
Top Bottom