Elections 2010 Matokeo Mbeya Vijijini

Lol! mkuu unatushitua sana! haswa ktk wakati huu ambao tunasubiria sana matokeo! wewe unakuja na Breaking news hewa! arrghhh!!:A S angry::A S angry:
 
<<Mwanza.pdf.pdf>>
Soma kwa makini ujumbe ulioambatanishwa. wenye jina <<Mwanza.pdf.pdf>>
Haya ndiyo maazimio ya mafisadi kuhujumu uchaguzi Tanzania!!! !!!


My God, Tanzania yetu imegeuka kitu gani? Je nini cha kufanya ????? ????

Kama unapenda nchi yako, peleke hiii habari isomwe na watu wengi ili waaibishwe na hata walazimishe kwa mujibu wa sheria Wajiuzulu !!!!!!!

Nguvu ya Giza inaitafuna Tanzania. Tusikubali kuhujumiwa.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki wote walio waadilifu
 
<<Mwanza.pdf.pdf>>
Soma kwa makini ujumbe ulioambatanishwa. Haya ndiyo maazimio ya mafisadi kuhujumu uchaguzi Tanzania!!! !!!

My God, Tanzania yetu imegeuka kitu gani? Je nini cha kufanya ????? ????

Kama unapenda nchi yako, peleke hiii mail kwa isomwe na watu wengi ili waaibishwe na hata walazimishe Wajiuzulu !!!!!!!

Nguvu ya Giza inaitafuna Tanzania. Tusikubali kuhujumiwa.
 
Tumeingiliwa JF.

Yaani watu tunavyokodolea sikrini afu mtu anakotokea hakueleweki anatuletea.....
 
Watanzania asanteni sana kwa kupuwapunguza manyang'au wa CCM. Mbeya vijijini nilisikia chadema wanaongoza kiasi kwamba wanamatumaini ya ushindi...
 
Taarifa kutoka Mbeya ni kwamba wananchi wameamua kuandamana kushinikiza kutolewa kwa matokeo ya jimbo la Mbeya vijijini. Wananchi wamekabiliana na askari katika eneo la Mbalizi, pia katika jengo la mkuu wa wilaya ya mbeya ambapo ndipo matokeo yanatarajiwa kutangazwa.

Wananchi wanadai kwamba kuna mabox ya kura yanataka kuingizwa kwa siri yakitokea jimbo la Rungwe mashariki.

Updates zaidi zikipatikana tutapeana wakuu!!!
 
nilikuwa nachukua sample ya wapenda title instead of content
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom