Matokeo!!! Matokeo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo!!! Matokeo!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Deejay nasmile, Feb 8, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  WAKUU AMINI USIAMINI MAMBO YANAYOTOKEA SAIZI HAPA TZ NI SISI WENYEWE NDIO TUMEYASABABISHA,KWA MFANO MIGOMO YA WANAFUNZI,MADAKTARI NA NK YOTE NI MATOKEO YA UCHAGUZI MBAYA TULIOUFANYA KATIKA KUCHAGUA VIONGOZI WETU MIAKA MICHACHE NYUMA.KAMA TUNGEFANYA UCHAGUZI SAHIHI!! HAYA MAMBO YASINGETOKEA KABISA. mungu awabarik
   
 2. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  itafika siku watagoma mpaka wana jf,hahahaha mods sijui ban mtawapa akina nani??
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mi nilijua ni matokeo ya form 4 kumbe........dah haya bana!!
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  dr.slaa alitwambia hii itawaliki tukabisha,ngoja tukome tutie akili.
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Karibu tena mkuu, pole na BAN nadhani ni walewale wa kina FF, Rejao na Ritz ndio waliokusababishia BAN
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,484
  Likes Received: 5,870
  Trophy Points: 280
  Anaweza kuwa na mtoto au ndugu aliye form4
   
 8. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,870
  Likes Received: 4,550
  Trophy Points: 280
  Rais alifanyiwa maombi ya serikali yake kupata kila aina ya misukosuko pale Furahisha,Kirumba,mara baada ya matokeo ya uchaguzi wa 2010.

  Labda ndio maombi yanajibiwa!
   
Loading...