LUSAJO L.M.
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 270
- 126
MASWA MAGHARIBI:
Matokeo ya awali kutoka jimbo la Maswa Magharibi yanaonyesha Simon Kisena wa CCM alikuwa anachuana vikali na John Shibuda wa CHADEMA. Katika Kata ya Malampaka kituo cha Masanga, Kisena alipata kura 102, Shibuda kura 56 ilihali Lydia Mawala wa UDP na Seif Maduka wa CUF hawakupata kura. Kituo cha Ginnery Kisena kura 75, Shibuda kura 28 wengine kura 0. Kituo cha Manigalane Kirena kura 143 na Shibuda 50.