Elections 2010 Matokeo Maswa Magharibi

LUSAJO L.M.

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
270
126
MASWA MAGHARIBI:
Matokeo ya awali kutoka jimbo la Maswa Magharibi yanaonyesha Simon Kisena wa CCM alikuwa anachuana vikali na John Shibuda wa CHADEMA. Katika Kata ya Malampaka kituo cha Masanga, Kisena alipata kura 102, Shibuda kura 56 ilihali Lydia Mawala wa UDP na Seif Maduka wa CUF hawakupata kura. Kituo cha Ginnery Kisena kura 75, Shibuda kura 28 wengine kura 0. Kituo cha Manigalane Kirena kura 143 na Shibuda 50.
 
Shibuda inaonekana hali yake sio njema sana kule kwake! Hebu tusubiri taarifa kamili...
 
si ndio huko yule jamaa alikuwa anapiga kura tatu tatu akashikwa? wizu tu :nono:
 
Siyo kweli. Shibuda kachukua jimbo (true kabisa), wanaogopa tu kutangaza labda hadi NEC ifanye mawasiliano na makamba na Manumba.
 
Tanzania daima inaonesha kuwa shibuda alikuwa anaongoza, na wasiwasi na aliyeripoti hapa yuko biased. Naamini kabisa Shibuda anashinda.
 
huku msisiem ndo alikamatwa na karatasi kibao iliaongeze idadi ya kura.
 
Maswa, Magharibi, ubunge

Mgombea wa CHADEMA, John Shibuda, alikuwa akiongoza dhidi ya mgombea wa CCM, Peter Kisena, ambapo katika kituo cha Bukigi, Kata ya Malampaka Shibuda 113, Kisena 65, Sokoni Shibuda 68, Kisena 46, Sokoni B Shibuda, 61, Kisena 56, Mahakama A, Shibuda 66, Kisena 47, Mahakamani B, Shibuda 65, Kisena 50.

Shule ya Msingi Malampaka, Shibuda 54, Kisena 55, Chekechea A Shibuda 79 Kisena 5, Chekechea B, Shibuda 74, Kisena 53, Oil Mill, Shibuda 56, Kisena 3
Tanzania daima
 
Neheeema kwa shibuda
 
Back
Top Bottom