KAJOBO
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 386
- 301
Dawa nyingi zinazotumiwa katika shughuli za kilimo nchini ni lazima zithibitishwe na taasisi ya utafiti wa viuatilifu(TPRI) iliyopo Arusha.Dawa za kuzuia wadudu zinazotumika.... Zina madhara gani kwa sisi watumiaji?? Interval ya kupuliza dawa na kuvuna ikoje??
vp unaonaje mkuu ukianzish group la whatsap tuendelee kujifunz zaidiUBORA WA MBEGU YAKO NDIO UNAAMUA UBORA WA MAVUNO YAKO
MBEGU YA TO 135 F1
Sifa Kuu
1. Ina matunda Makubwa na Magumu.
2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri
3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt resistance)
4. Inastahimili ungojwa wa virus usababishwao na inzi weupe....pia hujulikana Kama Rasta au Kitaalamu unaitwa Tomato Yellow Leaf Curl Virus-TYLCV
5. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko mcheleo, Late Blight
Na Bei yake ni Nafuu Sana. Kwa Mkulima gramu 10 ni TZS 60,000. Ekari moja inatakiwa Gram 50. Kwa order wasiliana na Bwanashamba Selerine 0765359880
Hii nyanya ikitunza vizuri kwa hekari moja unapata mpaka tenga 800+
Space mche na mche sentiment 45 na line na line sentimita 100
Kusia kwenye kitalu siku 21 inakuwa tayari kuhamishia shambani na baada ya hapo siku 60-65 unaanza kuvuna
Inatoa michumo 10+
View attachment 1312850View attachment 1312851View attachment 1312852View attachment 1312853View attachment 1312854View attachment 1312855View attachment 1312856View attachment 1312859
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza Ukali wa maneno dogo,.Si ukaokote Sokoni za kuoza zikaushe uzifanye Mbegu.Hivi nyie ni wapuuzi yaani gram 10 elfu sitini mnalenga kumsaidia mkulima au kumdidimiza mnatafuta utajiri kiharamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie huyo,, hii mbegu ni chotara sio sawa na hizo za kienyejiPunguza Ukali wa maneno dogo,.Si ukaokote Sokoni za kuoza zikaushe uzifanye Mbegu.