Matokeo majimbo ya Mufindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo majimbo ya Mufindi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkulima, Nov 2, 2010.

 1. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Mufindi Kaskazini
  JK 28,500
  Slaa 5004

  Ubunge CCM bila kupingwa

  Mufindi Kusini
  JK 30,700
  Slaa 3,841

  Ubunge CCM bila kupingwa
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ndudu zangu wa IR kama kawaida yao!
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa taarifa!mwambie Jk na CCM,siku zao zinahesabika!!!
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,012
  Trophy Points: 280
  Kuna siku hawataweza kuchakachua matokeo kama ilivyojitokeza Dar...........
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Expected results kwa Mufindi CCM wananufaika na ujinga wa waishio uko
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakinga ni wabishi mno...wanachojua ni Nyerere na JK tu!
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  hjii hatari sana km watu wako hivyo!
   
 8. b

  bob giza JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wa mufindi ndugu zangu mbona mnaniangusha?? na mtakufa na umaskini wenu kwa kuendelea kuikumbatia CCM....MFWA MBEEEVALI NGUVALONGELA YUVA DEEH!!
   
 9. b

  bob giza JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee usijenerolaizi..iringa ni kubwa na kumbuka sie iringa mjini tulichowafanya ccm na mama mbega wao..show some respect man..
   
 10. b

  bob giza JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...mufindi kule mkubwa wabena ni wengi zaidi ya wakinga..wabena wameenea kutoka njombe hadi mitaa ya mufindi na karibu karibu huku ifunda..wakinga wako sana town, makete na rujewa ambako pia wamemix na wapangwa..hata hivo wameniangusha sana..na watakufa na umaskini wao kwa kuendelea kuikumbatia ccm..waache tuu waendelee kutembea km kadhaa just kufuata huduma za afya tuu..mambumbumbu wakubwa..
   
Loading...