Elections 2010 Matokeo Lindi mjini CUF wanaongoza

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Chama cha CUF kinaongoza Lindi mjini mgombea wa CUF ni melemavu wa ngozi na wa CCM ni Abdulazizi amabaye ni mkuu wa mkoa wa Lindi pia, matokeo ya udiwani CUF kata 5 CCM kata 8, bado kata 5
 
chama cha cuf kinaongoza lindi mjini mgombea wa cuf ni melemavu wa ngozi na wa ccm ni abdulazizi amabaye ni mkuu wa mkoa wa lindi pia, matokeo ya udiwani cuf kata 5 ccm kata 8, bado kata 5
mkuu umenichanganya kabisaaaaaaaaa!! Content haireflect subject yako, na mkuu wa mkoa wa lindi sio yule mwarabu????
 
Back
Top Bottom