Matokeo kidato cha nne mbona ndoto za Alinacha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo kidato cha nne mbona ndoto za Alinacha.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Tilya18, Jan 29, 2012.

 1. T

  Tilya18 Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matokeo kidato cha nne mbona haieleweki ni lini, mara walisema ni tarehe 16/1 sasa wanasema ni tarehe 14/2; huku si ndiko kuchanganyana jamani? Tafadhali sana NECTA muwe static.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Dah! Tarh 14, plz unaweza cutoa source ya hii tarh 14 feb? Au ni stor 2 za ktaa.
   
 3. T

  Tilya18 Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa hii inatoka katika ofisi ya afisa elimu wa mkoa wa Kilimanjaro.
   
Loading...