Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 11,043
- 33,989
Ina staajabisha kwa kweli, huwezi kufauru Physics ngumu then uje ufeli Hesabu rahisi. physics inahitaji Maths knowledge kuweza kufauru.Yaani mtu anasoma sayansi hesabu anapata F msiba huu
Ina staajabisha kwa kweli, huwezi kufauru Physics ngumu then uje ufeli Hesabu rahisi. physics inahitaji Maths knowledge kuweza kufauru.Yaani mtu anasoma sayansi hesabu anapata F msiba huu
Ni kanuni ndivyo zinavyoagiza ama mkuu na wewe una hisi.Wamemsamehe kwa kuwa Civics amepata B angepata D ,angepata penati aangukie Div.II
Ina staajabisha kwa kweli, huwezi kufauru Physics ngumu then uje ufeli Hesabu rahisi. physics inahitaji Maths knowledge kuweza kufauru.
Nini hapo hakijakamika? Mada ipo vizuri ni kwamba nyie watoto wa juzi hamuelewi kitu.Hata hivyo mleta mada hajui asaidie kitu gani, maelezo yake hayajakamilika. Arudie
Either wewe ni mshamba au huna akili. Kama huelewi mada bora usichangie, nasoma comments zako una mihemko isiyokuwa na mantiki.Yaani mim niumize kichwa kwa mada za kikuda,, sasa Unataka nimpe dondoo makini ili amshushe daraja mtoto wa watu?
Nyie ndo walewale mliowaponza ajira za ualimu kwa ukudaukuda wenu.
Huwaga najiuliza mkishakosoa ndo mnapata mkate wa siku au laah!
Pamoja na kukosoa kwenu wahusika wanabaki madarakani palepale na ndugu yako au family yako ndio inayoumia.
Kabisa,hata mimi nimeona anapuyanga tu!Hapa suala ni jepesi,ilitakiwa mtu anayefahamu kama utaratibu umebadilika basi atueleze!Nini hapo hakijakamika? Mada ipo vizuri ni kwamba nyie watoto wa juzi hamuelewi kitu.
Either wewe ni mshamba au huna akili. Kama huelewi mada bora usichangie, nasoma comments zako una mihemko isiyokuwa na mantiki.
Wakurupukaji.Kabisa,hata mimi nimeona anapuyanga tu!Hapa suala ni jepesi,ilitakiwa mtu anayefahamu kama utaratibu umebadilika basi atueleze!
Aende PCB dogo. Achana na penat
Hkl asiiguse haina soko
Mimi pia nakataa. Haiwezekani upate physics C, chemistry B, na biology B halafu mathematics upate F... haiwezekani ubahatishe masomo magumu kwa grade nzuri halafu somo jepesi usifike hata D
Kumbe B/Maths ni nyepesi?Nahisi kuna makosa... mtu upate physics C, chemistry B, biology B halafu somo jepesi kuliko hayo mathematics apate F.. yaani hata D aikose?
Shukuru wajumbe wamesaidia kukuelewesha, lakini ulitoka zeroWewe ndo hujaelewa, pengine hukusoma vidato au uwezo mdogo tu... fuatilia walioelewa utajifunza ukitaka.
Hahaha, mkuu kwenye kila jambo ukipanga ufaulu lazima kuwe na mtu wa mwisho ila huyo wa mwisho kuna sehemu ukimpeleka atakuwa wa Kwanza, kuna shule zingine unakuta zina wastani wa 70, mwanafunzi asipofikisha huo wastani inatakiwa arudie darasa, sasa fikilia mtoto aanze tangu form one hadi form four anatembea na wastani wa 70 unategemea atapata ufaulu gani?Elimu imekuwa rahisi Sana
St Francis wako 90 waliopata one za 7 wako 79
Mtu aliyekuwa anakuwa wa mwisho darasani Ana one ya 9 daaah!!!
Ina maana siku hizi Mambo simple eeeeh!!!au hao watoto wanafundishwa kujibu paper
So mchezo!!!
Hata hivyo mleta mada hajui asaidie kitu gani, maelezo yake hayajakamilika. Arudie
Nahisi kuna makosa... mtu upate physics C, chemistry B, biology B halafu somo jepesi kuliko hayo mathematics apate F.. yaani hata D aikose?
Mkuu kwakweli hii awamu inarudisha sana elimu yetu nyuma kwa kutaka sifa za kuonekana ufaulu umepanda, kuna watoto wengine wanatuhusu kabisa kwenye familia zetu na kwa wao tunajua na unakuta mshajua huyu hawezi kutoboa necta ila cha ajabu matokeo yanatoka kafaulu ata muhusika mwenywe haelewi imekuaje, mfano kuna madogo hawajui kusoma ila mtihani wa darasa la saba wamefaulu kwa wastani wa C, na hapo shule imefaulisha wanafunzi woteMimi pia nakataa. Haiwezekani upate physics C, chemistry B, na biology B halafu mathematics upate F... haiwezekani ubahatishe masomo magumu kwa grade nzuri halafu somo jepesi usifike hata D
Kama ni msichana inawezekanaMatokeo ya huyu Dogo vipi anaweza kuchukuliwa HKL?
Division 3 pointi 25 CIV-D, HIST-D, GEO-D, KISW-C, ENGL-C, PHY-F, CHEM-D, BIO-D, MATH-F
Mimi ni miongoni mwa walioshushwaga Kwa kupata F ya hisabati form four nikiwa na point 18 it was unfairHiyo kitu haina mashiko tena! Ulikuwa uonevu tu! Siku hizi hakuna cha penalty wala mjombake! Hiyo ilikuwa miaka yetu yaani hapo angeshushwa mpaka div. 3 pamoja na points zake hizo 16. Ila ulikuwa uonevu tu!
Ulikuwa ni uonevu mkubwa Mimi ni mhanga wa hayo mambo . Kama ingekuepo kuna uwezekano wangeturekebishia na Sisi tulioonewagaWakuu, nawasalimu!
Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16.
S............ F 16 I CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F'