Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 793
- 58
wadau ebu nipeni msaada, nimejaribu kutumia broswers zote lakini nimeshindwa kufungua matokeo ya kidato cha nne, msaasa tutani
http://www.necta.go.tz/publishedresults/csee.php
wadau ebu nipeni msaada, nimejaribu kutumia broswers zote lakini nimeshindwa kufungua matokeo ya kidato cha nne, msaasa tutani
Binti jalibu hapa
http://www.necta.go.tz/publishedresults/csee.php?v=2
Kwenye makongolosi, weka jina la shule uitafutayo
Baada ya kukubali shule moja, sasa imegoma....ngoja nipumzike nisubilie mechi ya Chelsea na Arsenal......
Samora, Mi nadhani subiri kesho maana naona servers za hawa jamaa zimekuwa overloaded.wadau ebu nipeni msaada, nimejaribu kutumia broswers zote lakini nimeshindwa kufungua matokeo ya kidato cha nne, msaasa tutani
jamani naombe msaada mbona cpati matokeo!!!!
jamani naombe msaada mbona cpati matokeo!!!!
Mbona haifunguki? Kama umefanikiwa hebu tutumie link ya page2 yenye list ya shule zote nchini.
Mkuu kwani results zilizo http://www.necta.go.tzMbona haifunguki? Kama umefanikiwa hebu tutumie link ya page2 yenye list ya shule zote nchini.
Mkuu kwani results zilizo http://www.necta.go.tz
Na http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm zina utofauti?
Mnahitaji tufanye kama tulivyofanya mwaka jana? Hawa jamaa tuliwambia tuwawekee results hapa kwa muda wakachomoa; wakiweka matokeo huwa siku ya kwanza na ya pili server ina-crash several times. Na hapo unaweza kukuta hits hazizidi laki 5
Oh,Mbona yananiletea ya A level!!!!???
Jamani matokeo hayapatikani msaada mwenye link nyingine
Oh,
Pole kwanza; link niliyoweka kwanza ilikuwa na makosa, nimerekebisha hilo.
Pili, usitumie link ya NECTA katika nilizokupa, NECTA server yako iko chini kabisa, not accessible kwa sasa. Tumia link ya Wizara ya Elimu. www.moe.go.tz
Nimeuliza kama tuyahamishie JF yote kama yalivyo hamkujibu; wacha nikale kuku mie....
Lily,Sioni kwa nini hampati au hamfuati maelekeo sasa hivi nimepata matokeo ya mtoto mwingine ameomba nimtolee, mbona rahisi tu kwenye website ya NECTA weka center number na namba ya manafunzi aliyofanyia mtihani basi.