S Smart Man Member Jun 17, 2013 14 1 Jun 17, 2013 #1 CCM imeshinda kata ya Mnima-Mtwara uwez amini wameshinda kwa kura 912 dhidi ya CUF-620, NCCR-486 Na CHADEMA-227.
CCM imeshinda kata ya Mnima-Mtwara uwez amini wameshinda kwa kura 912 dhidi ya CUF-620, NCCR-486 Na CHADEMA-227.
NIGGA JF-Expert Member Jan 23, 2013 1,239 639 Jun 17, 2013 #2 Sishangai kwa hilo,aliyeturoga kisha kufa
ITEGAMATWI JF-Expert Member Jan 26, 2012 5,310 4,040 Jun 17, 2013 #3 Duh! hii hii CCM inayotoa Gesi huko kwenda Dar??
D DEAN KAGEMA New Member Jun 17, 2013 3 2 Jun 17, 2013 #5 kumbe wanaelewana tusiwaingili kati ya watu wa mtwara na ccm
Masanilo Platinum Member Oct 2, 2007 22,286 4,493 Jun 17, 2013 #6 Smart Man said: CCM imeshinda kata ya Mnima-Mtwara uwez amini wameshinda kwa kura 912 dhidi ya CUF-620, NCCR-486 Na CHADEMA-227. Click to expand... CUF wangeungana na NCCR Magamba ilikuwa Chali
Smart Man said: CCM imeshinda kata ya Mnima-Mtwara uwez amini wameshinda kwa kura 912 dhidi ya CUF-620, NCCR-486 Na CHADEMA-227. Click to expand... CUF wangeungana na NCCR Magamba ilikuwa Chali
O option JF-Expert Member Jan 15, 2013 2,022 1,482 Jun 17, 2013 #7 watu wa ntwara matatizo yao yatakuwa yanaisha kama ndoa ya kikristo
N Nara JF-Expert Member Jul 27, 2009 1,067 297 Jun 17, 2013 #8 Ndo walewale wazenji bari na wazenji bara!! Akila za mfukoni!