Elections 2010 Matokeo Kata ya Kinyerezi

LUSAJO L.M.

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
270
126
KATA YA KINYEREZI:
Kata ya Kinyerezi vituo vya shule ya msingi Kinyerezi na Ofisa Mtendaji matokeo ni kama ifuatavyo Kikwete (363), Dk. Slaa (348), Profesa Lipumba (56). Kwa upande wa Ubunge, Makongoro Mahanga wa CCM (198), Fred Mpendazoe wa CHADEMA (211), Tahir Kihiyo wa CUF (45). Tabata shule matokeo ya awali kura za urais ni kama ifuatavyo APPT (1), CCM (62), CHADEMA ( 73) na CUF (5). Matokeo ya ubunge CCM (65), CHADEMA (72), CUF (12). Kituo cha Magereza Segerea kura za urais CCM (74), CHADEMA (70) na CUF (5). Matokeo ya ubunge kwa kituo cha Magereza Segerea ni CCM (56), CHADEMA (78), CUF (13), APPT (1) na UDP (1).
 
wow wow,siamini kama CCM kweli wameshindwa kuiba kura. Ni mambo ya Slaa hayo,kila wakijaribu ujanja Dr anapata na kutibua:smile-big:
 
Back
Top Bottom