Matokeo Kata ya Kinyerezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo Kata ya Kinyerezi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by LUSAJO L.M., Nov 1, 2010.

 1. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  KATA YA KINYEREZI:
  Kata ya Kinyerezi vituo vya shule ya msingi Kinyerezi na Ofisa Mtendaji matokeo ni kama ifuatavyo Kikwete (363), Dk. Slaa (348), Profesa Lipumba (56). Kwa upande wa Ubunge, Makongoro Mahanga wa CCM (198), Fred Mpendazoe wa CHADEMA (211), Tahir Kihiyo wa CUF (45). Tabata shule matokeo ya awali kura za urais ni kama ifuatavyo APPT (1), CCM (62), CHADEMA ( 73) na CUF (5). Matokeo ya ubunge CCM (65), CHADEMA (72), CUF (12). Kituo cha Magereza Segerea kura za urais CCM (74), CHADEMA (70) na CUF (5). Matokeo ya ubunge kwa kituo cha Magereza Segerea ni CCM (56), CHADEMA (78), CUF (13), APPT (1) na UDP (1).
   
 2. J

  Jonas justin Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutazidi kuwa shusha chadema hoyee!!!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh raha tupu wana jf tukutane jamani tushangilie ushindi hahaaa
   
 4. M

  Mumbo Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wow wow,siamini kama CCM kweli wameshindwa kuiba kura. Ni mambo ya Slaa hayo,kila wakijaribu ujanja Dr anapata na kutibua:smile-big:
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kabisaaa,JF TUPANGE SHEREHE IFANYIKE.
   
Loading...