Mkuu nikiangalia hiyo ya Isyesye Mbeya, CHADEMA imeua 9985 kwa 723, huko JK hatakiwi hta kutia mguu!
Mheshimiwa BNN mmenidisable nisiweze kupata habari mpya? au hili tatizo linawapata wote?
Mheshimiwa invisible mmenidisable nisiweze kupata habari mpya? au hili tatizo linawapata wote?
Sokomoko,Yaani leo na wiki hii yote traffic ya hapa JF itakuwa balaa
There are currently 10545 users online. 1296 members and 9249 guests
Most users ever online was 10,545, Today at 12:40 PM.
Sokomoko,
Ukiangalia alichoandika Invincible hapo juu ndicho kimepelekea kufanya hivyo; that was server intensive!
Huko Mbeya Jk si ndo alipopolewa kwa mawe!!