Matokeo jimbo la Arumeru mashariki yatakua hivi

Utafiti wa wiki moja uliochukua sampuli ya watu 30 ktk kila kata miongoni mwa kata za arumeru mashariki uliofanya na asasi ya Arusha raha press unaonesha kuwa Mgombea wa chadema Joshua Nassari anaongoza kwa kupata asilimia 78 za ushindi hivyo kumfagilia njia kijana huyo dhidi ya asilimia 20 za mgombea wa ccm Bw siyoi sumari.big up Nassari

Hivi ukitukanwa kuna kosa?
Peleka mautafiti yako huko!
Tunachofahamu na ndivyo itakavyokuwa ni kwamba Nassari ana zaidi ya 90%
 
duh!! Siku hizi na ma-cd wanaingia jf!!!!??

duh (Unashangaa au unashangazwa?) !! Siku hizi (kwani siku zimebadilika si ziko 7 kwenye wiki au?) na ma-cd (Ndio ww kumbe, tunashukuru kwa kutujuza kuwa cd, karibu tukupe shakula shakula) wanaingia (Kwa hiyo ww umeingizwa humu JF?) jf!!!!?

Kweli humu JF kuna watu wanatakiwa waondelewe si sehemu yao
 
ndugu wadau wa JF, yafuatayo yatakua matokeo ya kura za ubunge jimbo la Arumeru. Hii ni kwa Mijibu wa utafiti binafsi nilioufanya kabla hata ya kampeni kuanza

CHADEMA betwee 65%-70%
CCM arround 30%
All other parties less than 5%

Nawakilisha.

Mende akiangusha kabati inabidi fundi seremala arudi VETA akasome tena.
 
Ngoja waje mawakala wa Mafisadi REDET watakavyochakachua na yule Kiongozi wao waliyemuweka pale mlimani anatumbo kubwa utafikiri anataka kuzalishwa kwa Opereation
 
Naona mnaandaa ground za kusema mmechakachuliwa kwa kutumia reference ya the so called utafiti hahaha very funny!

Hao mliowauliza wapo kwenye daftari? na hata kama wapo watapiga kura? na hata wakipiga watapigia Chadema? au mlikuwa mnatafuta rafiki zenu wa Chadema mnawauliza? aisee acheni utoto.:hand:
 
no research, no data, no data no right to talk, hapa jf sio mahali pa propaganda kama magazeti ya rai na udaku, tafadhali tuambie utafiti umefanyaje sample size na parameters zote ulizotumia kuna analyse data zako. Always jaribu ku post issue ya kufikirisha na kuchangamsha akili, sio kukurupuka tu na kupost upuuzi ambao any fool can do it!!jf is the home og great thinkers!!!

Tatizo sio lako ila ni la shule za kata ulizosoma ambazo zimeanzishwa na serikali ya CCM
 
ndugu wadau wa JF, yafuatayo yatakua matokeo ya kura za ubunge jimbo la Arumeru. Hii ni kwa Mijibu wa utafiti binafsi nilioufanya kabla hata ya kampeni kuanza

CHADEMA betwee 65%-70%
CCM arround 30%
All other parties less than 5%

Nawakilisha.
shekh yahaya kutoka kuzimu.
 
ndugu wadau wa JF, yafuatayo yatakua matokeo ya kura za ubunge jimbo la Arumeru. Hii ni kwa Mijibu wa utafiti binafsi nilioufanya kabla hata ya kampeni kuanza

CHADEMA betwee 65%-70%
CCM arround 30%
All other parties less than 5%

Nawakilisha.
ccm 61%chadema 34%vyama vingine 5%nra,afp,tlp,updp,dp,sau
 
Magwanda wanapojipa moyo huku wakijuwa wazi kabisa kuwa hawana chao Arumeru.
 
Wana jf sijui kitu gani kitokee lakini nimeshazunguka kata kumi na tatu kati ya kumi na saba. Naona dalili ni kwamba hamna upinzani. Upinzani upo kata nne tu za barabara kuu. Kule kwingine naona CCM tu. Hapa mimi najua nashughulika na kata za barabarani tu. Naiona arumeru kama kwa Raza zanziba kule ndivyo ccm itashinda. Pia harakati za upinzani zimepoza kweli tofauti na igunga sijui nguvu iliishia huko. It is different. Happa kinachosaidia cdm ni umarufu binafsi wa mgombea. Lakini milaksti na juhudi kama zile za igunga sijaona labda bado. In short hapa ccm tunashinda labda dunia iishie tar 31 machi
 
mwigulu nakubaliana na wewe kuwa shamrashamra za cdm hapa arumeru ni ndogo sana,sijui hali itakuaje kuanzia kesho?lakini kuwa mkweli kwenye jambo moja kuhusu mgombea wenu,ni ukweli usiopingika kwamba uteuzi wake haujapata baraka za wengi wa wanaccm hii itawapa mtaji cdm iwapo watapiga kampeni kama igunga.nionavyo cdm imeamua kutumia mbinu na sio ushabiki kama zamani.ni uchaguzi mgumu sana
 
Back
Top Bottom