Matokeo haya unaweza kusoma kozi ya Clinical Medicine?

Micky02

New Member
Jul 13, 2021
1
0
Ninamdogo Wangu Amemaliza Form six Amesoma CBG lakini Matokeo yake ni kama ifuatavyo
Chem:E
Bios:E
Geog D
Bam:E
Gs:E

Amekosa sifa zakwenda chuo kikuu so inabidi akasome diploma na Muhusika Anapenda kusoma course ya Clinical Medicine so Binafsi sinauelewa juu ya vyuo vya sayansi Naombeni mnisaidie ushauri ni vyuo gani vya serikali vya sayansi ambavyo ni Vizuri naweza kumfanyia Aplication Maana Muhusika yupo jeshini kwa mujibu wa sheria.

Natanguliza shukrani wadau.
 
Form 4 alipate maana kinatumika cheti Cha form 4
 
Back
Top Bottom