This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,903
- 4,979
Matokeo wanayopata Yanga kwa Sasa Ni matokeo halisi ya mpira kwasababu kwa hapa ligi ilipofikia bahasha hazifanyi kazi tena.
Kil timu ukiondoa mbili au nne za juu yeyote anaweza kushuka daraja , hivyo kila timu inapambana kujinasua na hilo balaa. Mipango ya nje ya uwanja haina nafasi.
Kilichobaki ni kusingizia uchawi kwa sasa.
Mashabiki wa Yanga walishajiaminisha kwamba wao lazima kushinda mechi, kwasabab wao ni bora sana. Na hata wachezaji wanaingia uwanjani na mentality hiyo. Yanga itakuwa ktk presha kubwa kwa mechi zijazo kwa sababu pia walishajiaminisha wao tayari ni mabingwa msimu huu.
Timu zitakazokutana na Yanga pia zimeshajifunza kuwa kumbe inawezekana kuizuia Yanga isifunge na inawezekana.
Kuna wale wanaomlaumu Cedric Kaze, lakini hata mechi ya jana na Prison Nabi alikuwepo na timu imedroo.
Mashabiki wanasahau kuwa ikiwa timu inatengeneza nafasi na washambuliaji hawafungi basi Hilo Ni tatizo la wachezaji na si kocha.Kama nafasi zinakuwepo na wachezaji hawafungi mnataka kocha aingie akacheze?
Ni mtazamo wangu, hebu tusubiri tuone itakuwaje. Muda utaamua.
BTW kila mtu ashinde mechi zake. Huu ndiyo mpira.