Matokeo darasa la saba., vigezo vipi vinatumika kuchaguliwa vipaji maalum? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo darasa la saba., vigezo vipi vinatumika kuchaguliwa vipaji maalum?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mporipori, Dec 10, 2010.

 1. Mporipori

  Mporipori Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, wadau naomba mchango wenu.. Hivi vigezo gani vinatumika kuamua kwamba huyu aende shule ya vipaji maalumu na huyu aende shule ya kata..? Na kam vipo, kwa nini vigezo havijawekwa hadharani? & why wengi wenye vipaji wanaachwa wapotelee shule za kata..? na why wanafunzi shule za vipaji kuna baadhi wanapata div. IV na wengine hata div. ZERO...?
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah,darasa la saba bwana!
  me nakumbuka enzi zile vijijini tulikua tunachanga hela kwa ajili ya kupewa majibu ya mtihani,hata sikumbuki maswali mimi nilipewa majibu,nika copy na nikatoka kwenye mtihani mwishoni!

  Ila bahati nzuri nilichana na nikaenda shule nzuri kweli,na Mungu mkumbwa nilikua/niko vyema sana kichwani nilifaulu kila mitihani iliyo fuata hadi leo chuo kikuu!

  Kama kigezo bado ni hiki cha nani kachana zaidi ya wengine inabidi wafikirie upya maana sio kila mtu anafanya mtihani wa darasa la saba
   
 3. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,211
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
   
Loading...