Matokeo darasa la saba-swali kwa waziri

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
805
425
Wengi kama tulivyosikia matokeo ya Darasa la saba yametoka.Kati ya waliofanya laki 8 ni laki 4 wamefaulu,kati ya waliofaulu pia watachaguliwa wachache kujiunga kidato cha kwanza.Waziri ajibu hao laki nne hawakufaulu waende wapi?Ajibu hili swali kiufasa zaidi bila kuweka siasa
 
Hivi haya matokeo yameshabandikwa mashuleni, au wapi yanaonekana?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom