Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Huyu mtu angekuwa karibu anastahili kipigo tu, hakuna haja ya kuzungumza nae. Tutakususia kuchangia maada zako hapa jf. ningekuwa na uwezo ni kukufungia kupost thread kwa miezi sita. Unataka kutuaribia Super monday yetu.Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Batilda hajatangazwa mshindi amekataa kusain matokeo wakati kapoteza kata 14. Nonsens !!!!!!!!!!!