Na compile matokeo ya urais yanayotolewa(bado yanaendelea kutolewa) na NEC kwa ajili ya analysis. Nitajaribu kuchanganya hii analysis ya matokeo ya urais na ya ubunge watakapo update tovuti (website) yao, kwa sasa sioni matokeo ya ubunge. Nia ni kwanza kujaribu kupata a close picture ya namna wapiga kura walivyochagua na kama ina scientific explanation na pili nimepata shida kupata matokeo yaliyojumuishwa kikamilifu na rahisi kuyasoma hivyo nikaona kama kuna mtu yeyote anahitaji hilo ni share naye....karibuni kuchangia.
NB.
Nime attach excel file(2003-2010), naamini wengi tuna hiyo programu kwenye computer zetu. Angalia worksheets zinaonyesha pivoted results kupata picha.
Nitakuwa nikitoa updated file kila NEC watakavyo update site yao