Matokeo Analysis

muchetz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Messages
744
Likes
374
Points
80

muchetz

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2010
744 374 80
Na compile matokeo ya urais yanayotolewa(bado yanaendelea kutolewa) na NEC kwa ajili ya analysis. Nitajaribu kuchanganya hii analysis ya matokeo ya urais na ya ubunge watakapo update tovuti (website) yao, kwa sasa sioni matokeo ya ubunge. Nia ni kwanza kujaribu kupata a close picture ya namna wapiga kura walivyochagua na kama ina scientific explanation na pili nimepata shida kupata matokeo yaliyojumuishwa kikamilifu na rahisi kuyasoma hivyo nikaona kama kuna mtu yeyote anahitaji hilo ni share naye....karibuni kuchangia.

NB.
Nime attach excel file(2003-2010), naamini wengi tuna hiyo programu kwenye computer zetu. Angalia worksheets zinaonyesha pivoted results kupata picha.

Nitakuwa nikitoa updated file kila NEC watakavyo update site yao
 

Attachments:

jambotemuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
214
Likes
32
Points
45

jambotemuv

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
214 32 45
Haya ni vituko vitupu. Idadi ya kura zote mpaka hapo ni m 5,099,125. Ndo kusema bado kura m ngapi kujumlishwa mpaka sasa kwa mujibu wa tume?. Wizi wa kitoto. Yaelekea uchakachuaji ulizingatia tu kuzishusha kura za Dr Slaa. Tusubiri tuone.
 

Forum statistics

Threads 1,203,709
Members 456,928
Posts 28,125,311