Matiti kuuma

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Leo ktk sehemu yangu ya kazi kuna bint alikuwa analalamika kuwa matiti yake yanauma hasa ktk ncha...mwenzangu akasema lazma itakuwa mimba, mwingne jipu. Lakini nimebaki na maswali je kuwa na mimba yaweza fanya nipples kuuma? Msaada jamani.
 
Yawezekana anaanza kupata kansa ya titi akajiangalie afya!!Pili yawezekana hit,Tatu yawezekana yamenyonywa sana jana yake kwawakati huo hakustukia game!Nne yawezekana anmtega mtu pa kazini kwenu,Tano yote yanawezekana!!
 
inawezekana ana mimba, au anakaribia au yupo kwenye MP.......
 
Leo ktk sehemu yangu ya kazi kuna bint alikuwa analalamika kuwa matiti yake yanauma hasa ktk ncha...mwenzangu akasema lazma itakuwa mimba, mwingne jipu. Lakini nimebaki na maswali je kuwa na mimba yaweza fanya nipples kuuma? Msaada jamani.

tuwekee PICHA tutoe ushauri,maana tunataka tuone izo ncha za matit zikoje.
 
Yawezekana anaanza kupata kansa ya titi akajiangalie afya!!Pili yawezekana hit,Tatu yawezekana yamenyonywa sana jana yake kwawakati huo hakustukia game!Nne yawezekana anmtega mtu pa kazini kwenu,Tano yote yanawezekana!!

KakaKiiza utau watu kwa 'presha' weye...kansa ya titi ni zaidi ya UKIMWI! Ni kansa mbaya sana sijawahi kuona kwa wanawake, na inaua sana! Haifai kutania...

Kuuma kwa titi wakati wa mimba changa huwa kunaendana na kuvimba kwa titi zima na kuwa gumu gumu hivi (engorged), na inakuwaga kwa sababu titi linajiandaa kutoa maziwa na hivyi breast tissue na msukumo wa damau kwenye titi unaongezeka, na hii huwa kwa matiti yote mawili (yeye anaumwa matiti yote mawili?). Jipu pia hufuatana na kuvimba kwa sehemu kubwa ya titi pia, lakini pale kwenye kichwa cha jipu penyewe panakuwa pako soft hivi, pekundu, na panang'aa fulani hivi, na maumivu yake yanakuwa ya kupwita (throbbing pain), vile vile jipu mara nyingi huwa kwa titi moja tu.

Kansa huanza na mabadiliko ya nipple yenyewe kabla ya mauvivu, na ndio maana mara nyingi huwa inagundulika baadaye kwa sababu maumivu ya kansa huwa yanakuja late baada ya dalili nyingine, na yanafuatana na discharge kama akiminya nipple/titi kama anakamua maziwa hivi yanatoka maji maji au damu (ikiwa damu kimbia haraka hospital kwani kwa kiasi kikubwa ni kansa). Lakini pia nipple inaweza kuwa imebonyea kwa ndani (retracted), kuwa ngumu, appearance ya kama ganda la chungwa (peau d'orange), na mara nyingi inakuwa kwenye titi/nipple moja, sio zote mbili kwa wakati mmoja.

Huwa anafanya 'breast self examination (BSE)'? kama hapana mwambi aende kwa daktari au nesi amfundishe kujiexamine matiti mwenyewe nyumbani, kani anahitaji uangalizi mpaka hiyo hali kuisha au kuhakikisha sio tatizo kubwa kama kansa.
 
thanx doc kwa maelezo yako. Anaumwa yote mawili kwenye nipples.
 
Kama yanauma yote mawili kwa wakati mmoja..yameanza pamoja...unlikely kuwa jipu au kansa! Uwezekano wa mimba?! Wakati mwingine inaweza kuwa mabadiliko tu ya kawaida ya mzunguko wa mwezi wa mwanamke, au mabadiliko tu ya kihormone mwilini!
 
Yanaanza mapema...ndani ya miezi mi2 hadi mi3 ya mwanzo, kwa sababu ni yale mabadailiko ya kihormone ndio yanauandaa mwili kubeba mimba na kutunza mtoto, na madadiliko yale ya hormone huwa yanaanza mwanzoni sana mwa mimba!
 
ok! Asante Dokta!
 
leo ktk sehemu yangu ya kazi kuna bint alikuwa analalamika kuwa matiti yake yanauma hasa ktk ncha...mwenzangu akasema lazma itakuwa mimba, mwingne jipu. Lakini nimebaki na maswali je kuwa na mimba yaweza fanya nipples kuuma? Msaada jamani.
ayo matiti yanakuuma ww yanamuuma mwenzio!! Au kakuomba umuombee msaada??acha ushankupe!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom