Matiti kutoa maziwa bila mimba

Jul 19, 2018
35
48
Habari wanajamvi
Ninashinda moja nimeiona kwa mpenzi wangu ambaye ninatarajia kufunga naye pingu za maisha Kama mungu Akipenda shinda yenyewe ni kwamba matiti yake yanatoa maziwa wakati yeye Hana ujauzito na nikimuuliza ananijibu ety alienda hospital doctor akamwambia anahomoni yingi ambazo zinazalisha maziwa ndio maana hilo tatizo huwa linatokea sasa ninaomba ufafanuzi nje hilo swala ni ukweli au Kuna tatizo linalosababisha Hilo swala ninaomba msaada wenu ndugu zangu
 
acha ufala wew........
 
mkuu hayo maziwa umeyaona wapi kabla hamjafunga ndoa? ina maana mnazini? ila ni kawaida usiogope we weka mzigo ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom