Matibabu ya nguvu za kiume kwa waathirika wa punyeto

Mr.Thinker

Senior Member
Dec 13, 2013
125
137
Unatakiwa kufanya yafuatayo

1. Hakikisha umeacha punyeto kabisa
Ili upone tatizo hili hutakiwi kuwa mtu wa kubadilika mawazo hovyo. Kama umeamua kuacha basi acha kabisa na futa kichwani kwako. Jisemee moyoni kwamba mimi fulani nimeacha tabia hii na sitarudi nyuma. Kama wewe ni mtu wa imani shika kitabu kitakatifu kabisa kulingana na imani yako.

2. Mazoezi
Kama wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau nusu saa kwa siku. Inaweza kuwa kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu uwe mzuri na wewe usimamishe uume vizuri. Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza nguvu za kiume.

3. Kula chakula bora cha asili
Vyakula vya viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.

4. Kunywa maji mengi sana
Kusimama vizuri kwa uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume. Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye uume

Haya wanajamvi kama una mbinu nyingine, maoni au ushauri tafadhali tuambie kuwasaidia wahanga wa hili
 
Kwani kuna Mwanachama amehitaji msaada wa kujitoa CHAPUTA?

Ama yupo mwanachama wa CHAPUTA aliyelalamika kuishiwa nguvu za kiume?

Mbona katibu mtendaji sina taarifa?

Ndugu Wanachama naomba itifaki izingatiwe bila kujaribu kutengua ibara yoyote ndani ya katiba.

Aidha uongozi wa chini unaombwa usijiamulie kufanya maamuzi bila kushirikisha wajumbe wa Idara za juu.

Wenu

Katibu mtendaji (CHAPUTA)
 
Shida ipo
 
Hizo ni nadhalia tu tunapeana moyo tu ukweli ni kuwa kama huna demu utafanya mazoezi mpaka ukomae ulimi na hutaacha labda uokoke kisawasawa
 
Tafuta demu mkali kila mda uwe unawaza kumgonga ila ukiwa na demu mbovu utaona bora upige nyeto kuliko K ya uyo demu
Mi nilipataga demu mkali ila ananuka **** kama panya kaozea ndani..!
Nlikuwa napiga bao moja nashindwa kuendelea mpaka naamka usiku naenda bafuni napiga nyeto bao mbili ndo narudi kulala.!
 
enyi kizazi cha niaje,mzuka,mkazuzu na mambo vepee acheni nyeto!! kwani mwisho wa nyeto ni kuwa mwanaume alieimbwa na mwana FA..nyeto Ni kilevi zaidi ya bange
nobera novetro Ni mutro
 
Kwani kuna Mwanachama amehitaji msaada wa kujitoa CHAPUTA?

Ama yupo mwanachama wa CHAPUTA aliyelalamika kuishiwa nguvu za kiume?

Mbona katibu mtendaji sina taarifa?

Ndugu Wanachama naomba itifaki izingatiwe bila kujaribu kutengua ibara yoyote ndani ya katiba.

Aidha uongozi wa chini unaombwa usijiamulie kufanya maamuzi bila kushirikisha wajumbe wa Idara za juu.

Wenu

Katibu mtendaji (CHAPUTA)
daah watu na nyazifa zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilipataga demu mkali ila ananuka **** kama panya kaozea ndani..!
Nlikuwa napiga bao moja nashindwa kuendelea mpaka naamka usiku naenda bafuni napiga nyeto bao mbili ndo narudi kulala.!
Hukumpenda ungeanza na hospitali wakishindwa ,unampeleka kwa waganga ,huyo alikuwa anatembea na mume wa mtu wakapitanaye
 
Wanaume wote rijari duniani wanapiga nyeto... Hakuna kazi ngumu kama kuacha nyeto....hakuna cha kuoa wala demu mkali..Nyeto ni nature.
 
Back
Top Bottom