Matibabu ya nguvu za kiume kwa waathirika wa punyeto

Habari za weekend wanajamvi naomba niende moja kwa moja kwenye Mara kifupi mm ni kijana wa miaka 22 sawa lengo la kuja hapa nikuomba ushaur wa kiafya.

Kusema kweli mimi nilikuwa mfuasi wa masturbation tangu mwaka 2014 japo kuna muda nilikuwa naacha nikipata hamu narudia kibaya zaidi mim sikuwa mlaji yaan kifupi mvivu wa kula.

Sasa mwezi mmoja uliopita hapa kuna kadem flan hivi kazuri hatari nilikutana nacho tukajenga mazoea basi nikamtongoza mtoto akanikubali sasa kiutani utani nikampanga akakubali kuja geto kweli ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza kutaka kula tunda sikuw mgeni sana maana nilikuw nikitizama sana video za ngono nilimwandaa kama dakika 45 iv akakojoa Mara tatu ndivy alivyniambia sasa ikahamia zamu yangu mtoto akaanza Kunichezea kifua lakini chaajabu uume haukusimama Akashuka kuimba ukaanza kuinuka ukasimama nikamuweka sawa ile nataka tu kuingiz ukalala kabisaa asee ilibidi niairishe tu kwa sikuile dah

Sasa tangu sikuile niliamua kubadilik nikaanza kufanya mazoez masturbation niliach kabisa kila asubui na jion nikaw nakunywa maji ma punje mbili za kitunguu swaumu.

Ushauri ninao utaka sasa kiukweli yule dem niliachana nae kabisa sasa nina dem mwingine huyu dem mpya kwa kweli amenifungukia kuwa anaham ya kufany mapenz na mimi kiukweli mimi naogopa nisijeaibika tena naombeni msaada jaman plz najua kuna watakao nikandia vyote ruksa karibuni wakuu
 
Uzi wa siku nyingi, lakini nikwambie tu, HOFU ni adui yako namba moja, ukiwaza tu kwamba unaogopa kuaibika basi utaaibika kweli, mwanaume ukishakua na mastress huwa ni tatizo kubwa sana katika ulimwengu wa mapenzi, unaweza usisimamishe GARI kabisa yaan. Relax na usiwe na papara, pia mapenzi sio mpaka kumuingilia NYUMBA ya mwenzio, unaweza kuishia hata kukaa barazani tu, mkapiga mastori ya kutosha halafu na mwenzio akafurahi tu umeenda kumtembelea 😁
 
Back
Top Bottom