matibabu ya fangasi za mdomoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matibabu ya fangasi za mdomoni

Discussion in 'JF Doctor' started by Ngumiji, Jul 9, 2013.

 1. N

  Ngumiji New Member

  #1
  Jul 9, 2013
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamjambo ?
   
 2. Tabrett

  Tabrett JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2013
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 446
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Mwenyewe nasubiri kwa hamu mdogo wangu zinamsumbua sana.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,107
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  YAJUE BAADHI YA MAGONJWA YENYE UHUSIANO MKUBWA NA

  UKIMWI KATIKA KINYWA NA MAENEO YA USO
  .  Ukimwi “upungufu wa kinga mwili”, ni ugonjwa unaoshambulia na kuua chembe chembe nyeupe za damu zinazosaidia mwili


  kupambana na magonjwa. Kutokana na upungufu huu wa kinga, magonjwa nyemelezi huanza kumpata muathirika wa ukimwi.

  Magonjwa yatokanayo na ukimwi uweza kujidhihirisha sehemu mbali mbali za mwili ikiwemo eneo la kinywa na uso. Kwa sasa

  nitaandika juu ya magonjwa ya eneo la kinywa na uso.

  1. Fangasi za mdomoni (oral candidiasis)

  Ugonjwa huu hujidhihirisha kama utando mweupe kwenye ulimi, paa la kinywa au kuta za kinywa, utando huu ni rahisi

  kukwanguliwa na kuacha ngozi laini yenye vipele vipele vyekundu. Wakati mwingine uonekana kama vipele vipele vyeupe

  kwenye kinywa.

  Matibabu: Ugonjwa huu hutibika kwa kutumia dawa za kawaida za fangasi, ziwe vidonge, za maji au za

  kumun’gunya katika hali ya gel

  [​IMG][​IMG]


  What are the natural remedies for oral candidiasis known as thrush?

  Answer:

  Oral thrush comes from an overgrowth of Candida Albinans. It is a fungus that lives in the body and feeds on processed sugar and carbohydrates. So if you want to go for a natural treatment, the first thing to do is to watch what you are eating.

  For the length of the treatment, you must avoid all breads, pastries, pasta, or mostly anything with wheat, rye, buckwheat, kamut... avoid all yeast.
  Also avoid all sugar, especially processed sugars. That includes stuff like maple syrup, honey, brown sugar, molasses... if you can, eat less fruits. Choose berries, grapefruit, cranberries, lemons and limes.

  You can eat brown rice, quinoa, millet. You can eat meat, fish, tofu, nuts. You should eat a lot of fresh vegetables, especially garlic. And you can drink milk, eat yogurt, and a bit of cheese.

  So yeah basically it's a really healthy diet. I would recommend keeping this diet two or three weeks to be sure that the infection will not come back. This diet will help the Candida go away and keep it away, but this only is probably not enough.

  In this battle, your main allies are:

  - Garlic: eat a lot of it, preferably raw. It has anti-fungal properties.

  - Pro biotic Yogurt: Candida Albicans overgrowth can be controlled by helping the 'good' bacterias in your body who feed on acidophilus.

  - Oregano oil: this one is really powerful. 5 or 6 drops in a glass of water, 3 to 5 times a day.


  there are probably other stuff so i welcome people who have other knowledge to please share it!

  Kula Kitunguu Saumu kibichi kutwa mara 3 kwa muda wa siku 7 utapona , Pendelea kunywa Mtindi pia utasaidia hayo matatizo ya Fangasi ya mdomo. Tafuta Mafuta yanayoitwa Oregano Oil uwe unatia kwenye glasi ya maji kijiko kidogo au kijiko cha kulia wali unakunywa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 utapona inshallah hiyo Fangasi kwenye ulimi.

  [​IMG]
   
 4. T

  TORABORA Member

  #4
  Jul 10, 2013
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Tabrett

  Tabrett JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2013
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 446
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  But mkuu MziziMkavu dogo kacheck vipimo vingi ikiwemo cha ukimwi na hanamaambukizi yoyote,fungus zinakuja na kupotea katika kipindi kisichoeleweka.
   
 6. health

  health JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2013
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pole sana kwa kusumbuliwa na matatizo ya fungus ila ipo tiba na wala usiwe na shaka. Hapa ipo ishe iliyoandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara kwa afya kwa ajili ya kupambana na fungus za mdomoni. Hii lishe imethibitishwa pia na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania(TFDA). Fuatilia maelezo muhimu kwa ajili ya lishe husika hapa chini.

  REISHI

  Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

  FAIDA YA REISHI


  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

  CA + FE + ZI PLUS


  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

  FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

  FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

  FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

  Kwa yeyote mwenye kutaka ushauri au kuwa na swali anaweza kuniandikia kupitia ishealthy@hotmail.com au kunipigia kwa namba 0776491294.
  Gharama za kupata huduma ya lishe husika ni kama ifuatavyo: REISHI ni Tsh 85000/- CA + FE + ZI Plus ni Tsh 51000/-
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,107
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Bibie Tabrett Mwambie awe anakula Kitunguu saumu kwa njia hii kila siku Asubuhi mara 1 kwa siku kwa muda wa siku 3 au siku 7 kisha njoo unipe feedback.

  [​IMG]
  Mahitaji
  Vitunguu swaumu
  Maji ya uvuguvugu


  Jinsi ya Kutengeneza na kutumia
  Menya Kitunguu saumu kimoja kizima na uvitwange au kuvisaga hadi vilainike
  Changanya mchanganyiko wa vitunguu swaumu na maji ya uvuguvugu kwenye kijiko cha chai ili vilainike
  Baada ya mchanganyiko huo kuwa tayari chota na uvimeze kama dawa za kawaida


  Mambo ya kuzingatia
  Kuwa makini kwani kuna baadhi ya watu wanaweza kutapika kwa kutumia mchanganyiko huu ila usiogope kwani baada ya dakika 15 ya kutumia hali ya kichefuchefu itapotea na kuwa kawaida. Unaweza ukaona matokeo ya dawa hii kuanzia siku moja ya matumizi na kuendelea


  Muhimu sana

  Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
   
 8. Tabrett

  Tabrett JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2013
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 446
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Shukrani mkuu,nitafanya hivyo!
   
 9. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2013
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,074
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  kushuka kwa kinga ya mwili hakusababishwi na ukimwi pekee , hebu mpeleke hospitali kubwa achunguzwe vizuri.
   
 10. amon jason

  amon jason Senior Member

  #10
  Jul 18, 2013
  Joined: May 13, 2013
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  know SPLINA.
  1.cleansing.
  cleanses the digestive system, assists in purifying blood, eliminates bacteria, disinfects and detoxify.

  2. balancing.
  balances body acid alkali levels, boots the function of the body system.

  3. nourishing
  assists in red blood cell regeneration.

  BENEFITS.
  reduces wrinkles and aging.
  balances body acid alkali level.
  discharges toxin through the feces.
  reduces pesticides residue and toxins.
  assists in increasing blood counts.
  promotes cell rejuvenation and boosts immune system.
  cools our body system.
  insomnia.
  fibroids.
  hormonal imbalance.
  colon cancer.
  hemorrhoids.
  pyrrhea.
  infertility.
  stroke.
  hypertension.
  dipresion.
  heart attack.
  kidney failure.
  immune system.
  diabetes.
  liver problems.
  arthritis.
  high cholesterol.
  arteriosclerosis.
  heartburn.
  menstrual pain.
  ulcers.
  asthma.
  acne pimples and spot.
  low libido.
  waist pain.
  skin allergy.
  migraine.
  severe headache.
  Watergate.
  lowback pain.
  U.T.I.
  is a nice medicine and u will became amazing after using it.

  WHO SHOULD DRINK.
  people who often feel heat.
  people with liver problems.
  people with respiratory problems.
  people with rheumatism.
  anemic people.
  those with pale complexion.
  people with weight problems.
  very skinny people.
  very fat people.
  smokers and those who consume alcohol frequently.
  those who dislikes eating vegetables.
  those who suffers from constipation.
  those who experience menstrual pain.
  those who often catch cold.
  those who often have soar throats.
  people with body odor and bad breath.
  busy and stressful people.
  easy fatigue people.
  those who often eat out.

  please contact.
  0713507487
  0767507487
  0782898210
  price 85000
   
Loading...