MATIBABU BURE DSM: Wasio wagonjwa wanawahi foleni na kuwauzia siti wagonjwa wanaochelewa

Vyuma vimekaza Baba thanks to MACCM yaliyoimarika yako busy kugawana bahasha za rushwa ya pesa na vyeo.

Hali ngumu sana kwa wanaume wa Dar!

Kuna team ya watu wanawahi na kuuza ticketi kwa wagonjwa wanaochelewa. Wanapiga dili aisee!

Vyuma vimekaza
 
Back
Top Bottom