Mathematics is interesting!soma hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mathematics is interesting!soma hapa...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Myakubanga, Jan 7, 2012.

 1. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Malkia wa Uingereza alimwita ROBERT HOOKE,baada ya ugunduzi wa Hooke's Law iliyopelekea kutengenezwa mashine imara kwa matumizi mbalimbali!
  R.Hooke aliombwa achague zawadi yoyote ile!Akamtuma mfanyakazi wa mfalme alete Draft(Lina vyumba 64) na kumwambia kwenye chumba cha kwanza aweke punje moja ya mchele;chumba cha pili punje 2;chumba cha tatu punje 4(2*2);Chumba cha nne punje 8 (2*2*2); na kuendelea hadi mwisho!
  Malkia alicheka akidhani ni zawadi ndogo,lakini ilichukua mwezi mmoja kufikia chumba cha 20na by the time mchele wote wa uingereza ulikuwa unaishia!
  Kingefikia cha 64,mchele wa dunia nzima usingetosha!!!!!
   
 2. a

  anonimuz Senior Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hehe, simple geometric progression, nice! ila hapo kwenye red kuna utata. By the time anafika chumba cha 20 atakua ametumia 2^20 -1 grains. Total of 1048575 grains. Kila grain ina uzito wa 20-30mg. Let's take the median value, 25mg. Punje 1048575 zina uzito wa 1048575*25mg= 26.214375kg, kama robo ya gunia zetu za tandika pale.

  Hapo kwenye green, very true. Akifika chumba cha 64, atakua ametumia 2^64-1 grains ambazo uzito wake utakua around 461 billion tons!. Global rice production last year ilikua around 480 million tons TU!!!
   
 3. Old-Timer

  Old-Timer Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upo safi
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Yeah;I went wrong hapo kwenye green
   
 5. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Good even got better.
   
Loading...