Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Nimepitia Ripoti ya Fedha ya mwaka 2015 ambapo ACACIA Waliuza hadi Ounce 531,000 kwa Miezi 9 (quarterly financial statement) na Hizi ndo Wameziweka kwa hiari bila hata ya Kutuibia hapo halali sizijui. Je vipi miaka ambayo walizalisha zaidi ya hizo Ounces?
Hebu tuchukue 531,000 Ounces kwa Miezi 9.
I ounce = 28.35 grams
531,000=?
Gram 15,053, 850 na
1kg = 1000grams
??? = 15,053,850
Tunapata 15,053.85
1tone = 1000kg
?????? = 15,053.85
Mwaka 2015 walizalisha Dhahabu Kiasi cha Tani 15.05385 ~ Tani 15 kwa Miezi 9 tuu. dizisha kwa miaka na hizo ni zile ambazo hawajatuibia je tukichanganya na Magumashi yao!
Kumekua na Watu wasioitakia mema Tanzania Wanasema eti Rais amezidisha uzito wa dhahabu
Numbers never lie! Wale wa EGM wenzangu mtanisaidia Calculation hapo naona Niko sahihi. Pia wale waalimu wenzangu wa haiba na Michezo njooni tujadili.