Mateso ya wafanyakazi wapya wa t m a

eddymyinga

Member
Feb 21, 2011
11
1
Robert yahaya 12:45 pm.kweli kabisa sisi ni wazalendo wa kweli na nchi yetu lakini sasa tunavunjwa nguvu na baadhi ya watendaji wa hidala husika , kweli tuna uchungu sana pesa za serikari zilizotumika kuwasomesha wasomi huko kigoma na tunawapa hajila pasipo kuwaekea mazingira bora tulio waajiri , sasa mtu anaajiriwa na kupangiwa kituo cha kazi bukoba au maswa , ametoka dar es salaam , hadi sasa hamjawapa ela ya kuanzia maisha , hii lakini ni uonevu maana mtu huyu atafikia kwanani na aishi vipi ? Mm napenda kumshukuru sana mama kijazi ila anaharibiwa na watendaji wake ,mm naomba muwasaidie vijana wenu maana madada (wasichana) msipo wapa ela mnatarajia nini kama hawana ela , mtasababisha tabia mbovu , ili kusukuma maisha ,vijana wameajiriwa tar 1/2/2012 hadi leo wanaombaomba mtaani misaada maana hawana ela kabisa ,wengine wamefukuzwa kwenye nyumba walizofikia , inauma sana , jamani serikari iliangalie sana hili wengine wamekosa hata nauli ya kwenda kazini , wakiacha kazi na kutafuta kwingine hasa kwenye kampuni binafsi serikari itakua imeingia hasara kubwa kuwasomesha na kupoteza nguvu kazi yake yakulitumikia taifa katika secta za serikari na kuzinufaisha secta binafsi ambazo hazina mcahango wa mojakwamoja kwenye jamii au serikari yetu , ndugu watanzania kila mtu asimame kwenye nafasi yake kama mnyanyua uchumi wa nchi yetu kwa kutenda kile kilicho muweka sehemu husika na si kwa maslahi binafsi na kunyanyasa na kutesa wengine wasio na hatia ni mimi mwana jamii wa kitanzania god bless tanzania - amen
 
poleni sana, nadhani wahusika nao wanapitia kwenye hili jamvi watakuwa wamewasikia, kiukweli nchi yetu usipolalamika hakuna mtu atakaye kusaidia
 
Back
Top Bottom