Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,277
- 5,838
Habari za mihangsiko wanajamvi??
Hali ya siasa tz kila siku inaniumiza na kunikatisha tamaa kabisa, hasa baada ya uchaguzi mkuu mwaka jana na haya yanayoendelea katka chaguzi za umeya zinazoendelea.
Mateso wanayopitia kupitia jeshi la polisi ilimradi kile wanachokipigania kupite kwa maslai ya taifa.
Jeshi la polisi kuingia bungeni sijui ni kwa utaratibu upi, zaidi ni haya mateso aliyoyapata dada yangu Halima Mdee,ni udhalilishaji wa hali ya juu yaani usiombe kulazwa rumande jamani hasa ukiwa mheshimiwa.
Njia wanayoitumia chama tawala ndio iliyowapa ushindi leo na morogoro kwa kumdhalilisha yule mbuge kwakumkamata wakati uchaguzi ukiebdelea halikadhalika hawakotayari kuiachia na dar.
Wito kwa watanzania kwa kukaa kimya wakati haya yoote yanaendelea maana yake tumeyabariki na hayana madhara kwenye maendeleo yetu. Hivyo ni vyema tukapendekeza utaratibu wa chama kimoja ili kupunguza gharama maana chama tawala hakipotayari kuachia ngazi ikiwa kwa ngazi ya umeya tuu sasa nchi unadhani itakua rahisi???
Namkubali rais wetu ni mtu wakubana matumizi na mtu wa watu maskini ambao ni watz hivo ataweza kuuondoa mfumo huu wa vyama ving kwani haunatija ama akiacha basi kwa mtindo huu tutegemee machafuko hapo baadae mpaka kushangaa kama ndio tz hii hii.
Nivyema kuziba ufa kabla ya kujenga ukuta.
Alamsiki.