Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

...... Africans hatupendani wenyewe kwa wenyewe.....ila tunajipendekeza sana kwa wazungu na waarabu yani ngozi nyeupe.....Ila wao hawatupendi pia wanapendana wao kwa wao.......labda ss tungekuwa tunapendana labda tusinguwa hapa leo hii....mpende akupendaye asiyekupenda achana nae......kama hakuna anaye kupenda kuwa mbinafsi tu utaishi kwa raha na amani....

....dini yani miungu na mitume yote ya mzungu na mwarabu....waindi wana dini zao wachina wa dini zao.....kila race ina dini zake na vitu vyake.....ila Africans hatuna chetu tunaparamia paramia tu vya watu.....kuanzia dini mpaka vitu vingine na hii ni ishara ya kutojitambua....... Africa sijui ina nini......siku tukijitambua ndio tutaheshimika......acha baadhi ya Africans wateseke kutokana na ujinga wao haijarishi ni muislam au mkristo wote ndo walewale wajinga watupu wanaoparamia vya watu......
 
Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu.

Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu.

Nina uhakika idadi na taarifa zao mnazo ila ni uvivu tu wa kuwafatilia na kujua wanaendeleaje.

Maeneo au machinjio ya waafrika wengi ni Saudi Arabia na Oman....Haya ni maeneo hatari sana sio kama Dubai au Qatar, tafadhali Balozi za Oman na Saudi Srabia saidieni Watanzania.

View attachment 1070124

Sent using Jamii Forums mobile app
Nao pamoja na kutafuta maisha lakini eneo hatarishi wanaenda kufanya nini? Tulisha choka na hizi habari za watu wanaoteseka huko uarabuni,kwa nini bado wanabebana kwenda huko? Aaaah!
 
Fuatilia watakaotetea hayo mambo aidha kwa kusema hayapo au kusema yapo ila ni kawaida au bora hayo maana hata hapa bongo mateso yapo....wengi kama sio wote wanaosema hizi kauli ni waislam.
Sasa sijui kuna uhusiano gani kati ya uislam na waarabu.
 
Fuatilia watakaotetea hayo mambo aidha kwa kusema hayapo au kusema yapo ila ni kawaida au bora hayo maana hata hapa bongo mateso yapo....wengi kama sio wote wanaosema hizi kauli ni waislam.
Sasa sijui kuna uhusiano gani kati ya uislam na waarabu.

Mkuu acha wapigwe bakora kabisa ili wajifunze,maana wanawaona waarabu kama watakatifu na kuwaita wengine makafiri/kafiri!.
 
Kwahiyo waislam ndo walikuwa wanafanya biashara ya utumwa peke yao dunia nzima!

NB:
Siwatetei waarabu kwa unyama wanaotufanyia waafrika tena nawachukia mno.....ila mambo ya kiimani sidhani kama yanaingiliana hapa ila nachojua mtu akiwa na tabia mbaya au roho mbaya haiwezi kuhusiana na imani yake
Point.
 
Hao ni Wazanzibari acha wapate tabu huko. Akipona hapo utasikia hii ni thawabu kuteswa na Mwarabu. Hii mijamaa inamwona Mwarabu kama ni nusu Mungu. Naishia hapa japo yapo Mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wadada wa Kenya wako wengi sana Saudi Arabia wanapata shida sana,nasikia Serikali Mpya ya Kenya imezuia raia wake kwenda huko
 
Fuatilia watakaotetea hayo mambo aidha kwa kusema hayapo au kusema yapo ila ni kawaida au bora hayo maana hata hapa bongo mateso yapo....wengi kama sio wote wanaosema hizi kauli ni waislam.
Sasa sijui kuna uhusiano gani kati ya uislam na waarabu.
Kwani hujui kuwa Makka na Madina zipo Saudi Arabia na Mtume Muhammad (S.A.W) kazaliwa huko?

Wabillah Tawfiq,
 
Back
Top Bottom