Mateso tunayopata wateja wa ALAF

Unasubiri bati mwezi mzima? kweli wewe una mahaba na Alaf, mimi niliweka order ya mabati kwenye kiwanda huku maeneo ya mbezi nikayapata kesho yake....nikalipa na kubeba mzigo.

Mbezi beach au kile kiwanda kama unaenda malamba mawili?
 
Habari WanaJF nililipia bati Alaf mwezi mmoja uliopita nikataarifiwa bati zinatoka leo nipeleke gari ya kupakia.

Nilipeleka gari yangu asubuhi ya leo ila mpaka saa hizi saa mbili usiku.

Hii ni kero kwa kweli
Ungetumia mawakala ungepata mzigo mapema ..mie mzigo wangu wakala aliuleta J3 usiku kama saa saba ivi
 
Chief hakuna taasisi inyotengeneza bati bora kama hai ila tatizo ni huu ukiritimba uliopo kisa kuna ubia na watu wa serikali
Shida umejengewa mentality na jamaa zako
Mimi nimeweka bati zangu nimenunua mwaka juzi hazinapauka hata kidogoo
Achana na hiyo biashara mkuuu
 
Back
Top Bottom