Mateso ninayoyapitia baada ya kuachana na mpenzi wangu, nifanye nini nimsahau?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
Wana JF tangu nimeachana mpenzi wangu nimejikuta napitia mateso makali sana kuliko yale niliopitia tukiwa kwenye mgogoro mahusiano zaidi kwanii

1. Imefika hatua nakula kwa shida

2. Nalala kwa shida wakati wa usiku.

3. Maumivu makali moyoni ambayo yanakuja na kuondoka

Ni mengi ya kuongea hebi nisaidieni hiliiii
 
Ukitaka kufurahia Maisha yako, Lazima uwe na nguvu ya kusahau yalopita
IMG_20200205_144950_480.jpeg
 
Pole sana inatokeaga sana,hio hali itaisha ukija kujikubali kuwa unastahili kilichobora zaidi ya huyo manzi aliekua akikutesaa....

You will be healed soon,umia kwasasa kwasababu ya mawazo lakini njia hio itakupeleka katika uhuru wa nafsi yako na kuendelea kufurahia maisha...

Maisha bila mapenzi yanawezekana ukiwa single hufiii ndugu,japo matamanio yatabaki pale pale...

Pumzisha moyo wako kwanza mkuu,jishughulishe,jichanganye na watu,fanya mazoezii,ule upendo uliokua ukimpa Huyo manzi urejeshe kwako,jipende,kula vizur,vaa vizuriiii,tafuta hela watakuja wengine wazur na wakali kuliko huyo uliemuacha!!!
 
Jamaa anayaendekeza huenda kweli na n kweli alimpenda

Wengine tulipitia huko na sasa tupo huru na maisha yetu!
Mkuu nilikua nakuonea huruma sana coz nilishapitia maumivu lakini wewe umezid na ni kwa sababu unayaendekeza. Acha kuendekeza hiyo hali utakonda alafu yeye ananenepa waseme alikuwa anakulea mmeachana ona ulivyokondeana.
Una umri gan mkuu?
 
Huna budi kukubaliana na hali,kadri siku zinavoenda maumivu yanapungua hadi yataisha ,afu amini siku utampata babe mkali zaidi yake.

Usikae idle sana utapata nafasi ya kumuwaza sana, jikeep busy itakusaidia.

Ila maumivu ya kuachwa jamani

Si aliamua kumuacha mwenyewe au ninachanganya habari mbili tofauti?
Usimuache mtu ukiwa bado ujajipanga kisaikolojia kufanya hvyo, najua ni ngumu kwa unaempenda lakini inawezekana especially unaetaka kumuacha bado anaendelea kukuonesha drama/fake love
 
Huna budi kukubaliana na hali,kadri siku zinavoenda maumivu yanapungua hadi yataisha ,afu amini siku utampata babe mkali zaidi yake.

Usikae idle sana utapata nafasi ya kumuwaza sana, jikeep busy itakusaidia.

Ila maumivu ya kuachwa jamani

The law of attraction here I come

Jamani hata wewe ulishawahi kuachwa? Hii dunia hii kweli tambara bovu. Na huyo fala aliyethubutu kukuacha huko aliko ana hali gani? Shwaini zake halafu na mimi naomba Karma imfundishe adabu mpaka aombe poo
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom