digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,871
- 14,293
Zaburi 39:4-6Hata Meko Mlisema mitano tena nazani unakumbuka much 17 nini kilitokea,
“Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!” Kumbe umenipimia maisha mafupi sana! Maisha yangu si kitu mbele yako. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu! Kweli, kila mtu anapita kama kivuli; jitihada zake zote ni bure tu; anakusanya mali, asijue atakayeipata!
Kifo kipo hata wee utakufa muda ukifika,Ni ajabu kuni iliyo pembeni kuicheka kuni iliyo motoni!