Material za kweli kwa wale wanaoanza kujifunza web app development na hata waliobobea

mdeesingano

Member
Aug 12, 2008
65
0
Katika pita pita zangu njiani nilikutana na nondo za uhakika za "WEB APPLICATIONS DEVELOPMENT" nikaona wandugu niwashirikishe.... Jichukulieni maujuzi tanzania isonge mbele kunako website industry....


http://openclassroom.stanford.edu/MainFolder/CoursePage.php?course=WebApplications


Pia msisawao bidhaa zetu za hapa hapa bongo ambazo ni:!


"Za Kitz kwa waTz"

www.JigambeAds.com
www.TanzaniaKwetu.com
www.JigambeAds.com

.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom