Material Wife

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,197
1,459
Ukikutana naye na hiyo pamba ya kiismula unaweza ukatangaza ndoa sekunde hiyo hiyo. Ama kweli wanaume tuna kazi kubwa sana kwenye selection. 77059_101404516597628_100001842395815_7669_4182682_n.jpg View attachment 37199
 
Bado tunaomboleza bana. Hivi vitu ungevisubirisha maombolezo yapite lasivyo smz itasusia rambirambi yako naya jf.
Ukikutana naye na hiyo pamba ya kiismula unaweza ukatangaza ndoa sekunde hiyo hiyo. Ama kweli wanaume tuna kazi kubwa sana kwenye selection.<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=37198&amp;stc=1" attachmentid="37198" alt="" id="vbattach_37198" class="previewthumb" /><img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=37199&amp;stc=1" attachmentid="37199" alt="" id="vbattach_37199" class="previewthumb" />
<br />
<br />
 
just apearance inashawishi ila when ukidondoka ktk nuru hutataman kurudi am telin u mavi2 ya kujiachia namna hii wapo very sour
 
Mbona rahisi tu ndugu yangu, kama umependezewa na mvao wa mwanzo si utam-guide tu siku akitoka amepigilia cha pili unamwambia kuwa hakikubariki? Kama mnaongea lugha moja atakusikiliza lakini kama you were not meant to be together ndio utayajua hapo.
 
kwa sie tunaokurupuka kuoa mapema, unaweza ukafanya misjudgement
 
Back
Top Bottom