Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,459
Ukikutana naye na hiyo pamba ya kiismula unaweza ukatangaza ndoa sekunde hiyo hiyo. Ama kweli wanaume tuna kazi kubwa sana kwenye selection.
View attachment 37199
i guess picha ya kwanza yupo kiheshima na kinidhamu zaidi ila ya pili yupo kibiashara zaidi...what is the point here....?
<br />Ukikutana naye na hiyo pamba ya kiismula unaweza ukatangaza ndoa sekunde hiyo hiyo. Ama kweli wanaume tuna kazi kubwa sana kwenye selection.<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=37198&stc=1" attachmentid="37198" alt="" id="vbattach_37198" class="previewthumb" /><img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=37199&stc=1" attachmentid="37199" alt="" id="vbattach_37199" class="previewthumb" />
hapo red umesema kweli....... Mna kazi kubwa.....mhhhhh!!!!
Bado tunaomboleza bana. Hivi vitu ungevisubirisha maombolezo yapite lasivyo smz itasusia rambirambi yako naya jf.
kwa sie tunaokurupuka kuoa mapema, unaweza ukafanya misjudgementMbona rahisi tu ndugu yangu, kama umependezewa na mvao wa mwanzo si utam-guide tu siku akitoka amepigilia cha pili unamwambia kuwa hakikubariki? Kama mnaongea lugha moja atakusikiliza lakini kama you were not meant to be together ndio utayajua hapo.