Matembezi ya FAO Dodoma 29 may 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matembezi ya FAO Dodoma 29 may 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SolarPower, May 15, 2011.

 1. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania Wenzangu natumaini WOTE TUMEONA TANGAZO LA SHIRIKA LA CHAKULA NA KILIMO DUNIANI--FAO-- KATIKA GAZETI LA THE GUARDIAN LA JANA 14.05.2011 WAKITOA MWALIKO KWETU WOTE ILI TWEDE DODOMA NA KUSHIRIKI KATIKA MATEMBEZI HAYO YA KILA MWAKA AMBAMBO MWAKA HUU WA 2011 YATAFANYIKA (Kwa Mujibu wa Tangazo HILO) SIKU YA JUMAPILI IJAYO YAANI TAREHE 29 MAY 2011---Siku SABA TUU--Toka LEO TAREHE 15.MAY.2011. Katika Tangazo hilo wanasema kuwa kwa Mwaka jana PEKEE Yaani MWAKA 2010 Walifanikwa KUKUSANYA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 174 HAPACHINI NA KUWEZA KUWAPATIA CHAKULA CHA MCHANA WATOTO WETU KATIKA SHULE ZAIDI YA 1100. NA PIA WANASEMA KUWA KWA DUNIA NZIMA WATU MILIONI MOJA WALISHIRIKI KATIKA MATEMBEZI HAYO YA MWAKA JANA WA 2010.

  Kwa Kuwa Wote Hatuwezi Kwenda DODOMA Naomba OFISI YA WAZIRI MKUU IFANYE KAZI USIKU NA MCHANA KUHAKIKISHA KUWA KILA MTU ANAYEISHI KATIKA NCHI HII ANASHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA MATEMBEZI HAYO KWA KUPITIA SIMU YAKE YA MKONONI KWA KUCHANGIA SHILINGI 5,000 TUU KWA KILA NAMBA YAKE YA MKONONI ANAYOITUMIA. TUKIFANYA HIYO KWA PAMOJA KAMA TAIFA KWA SIKU HIYO YA

  29 MAY 2011 TUTAKUSANYA KIASI CHA SHILINGI ZA KITANZANIA ZIPATAZO BILIONI 105.791820
   
 2. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu. Ila mkuu naomba nikusahihishe kidogo tu, siyo FAO ni WFP japo yanahusiana. UNWFP walikuwa ndani UNFAO kama idara huko nyuma na baadae walijitegemea kwa kuendelea na kazi za kuhudumia chakula kama jina lao linavyojinadi, United Nations World Food Programme na United Nations Food and Agricultural Organisation wakiendelea kuhudumia kilimo. wazo la kuchangia ni zuri kwa wananchi ili tuweze kulisha watoto wetu wenyewe kuliko kutegemea watu wageni. tunatuma kwa namba ipi sasa mkuu?
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,075
  Trophy Points: 280
  Tatizo si watanzania kuchangia; tumewahi kuchangia mambo mengi sana tangu uhuru; tatizo ni hiyo michango itatumikaje. Ukifuatilia madudu yanayofanyika huko halmashauri na kwenye vikao vya madiwani ambao kimsingi masuala haya wao ndio hasa watekelezaji wakuu huna hamu ya kusikia kitu kinachoitwa KUCHANGIA.

  By the way hivi serikali imeruhusuje "aibu" hii inayotaka kuletwa na FAO kwa taifa letu? Sioni kama ina tofauti sana na ile ya "Sauper" kuhusu MAPANKI ambayo ilipigwa vita kwa nguvu zote. Au haka ni kamradi flani; tena kila mwaka? Yaani tumekubali kwamba njaa sasa ni "tatizo la kudumu" hasa hapo makao makuu ya nchi? AIBU!
   
 4. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Mkuu, WFP wamekuwa wakitoa chakula mashuleni katika mikoa yenye wafugaji wanaohamahama na pia yenye ukame kwa zaidi ya miaka kumi sasa, ni mradi walioubuni vizuri na wanasimamia wenyewe kwa kushirikiana ya selikari yetu tukutu. jamaa wanakomaa wenyewe na halmashauri hawawezi chakachua. mimi naishi katika moja ya mikoa hiyo inayofaidi matunda ya msosi mashuleni na it works. na hata hizo hela huwa hawawapi halmashauri ila huwa wananunulia chakula hapa hapa uswahilini. kama una nafasi mkuu changa usiog6pe.
   
 5. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NAKUSHUKURU SANA Nangomboli---NAKUOMBA UPRINT HAYA MAWASILIANO NA NINAKUOMBA SANA KWA UZALENDO WAKO NA UZOEFU ULIONAYO NA KWA FAIDA YA NCHI YETU NA WATOTO WETU WANAOTESEKA KUPITA KIASI UTOE PHOTOPY ZA KUTOSHA HATA MIA MOJA NA KISHA HAKIKISHA ZINAFIKA OFISI ZOTE ZA WFP KABLA YA SAA KUMI NA MOJA JIONI HIYO KESHO, NA WAO SASA KESHO HIYO HIYO WAKUTANE NA WAZIRI MKUU ILI JUMANNE ASUBUHI -17.05.2011-BUNGE LIKUTANE KWA DHARURA NA KUPITISHA SHERIA KUWA UCHANGIAJI HUU ULIOPENDEKEZWA HAPA NI WALAZIMA NA UTAANZA HIYO TAREHE 29 MAY 2011 NA BAADA YA HAPO UTAKUWA UKIFANYIKA KILA TAREHE 7 YA KILA MWEZI KWA KIWANGO HICHO HICHO CHA SHILINGI 5,000/= AMBAPO KILA MWAKA ZITAKUWA ZIKIPATIKANA ZAIDI YA SHILINGI TRILLIONI 1.365 KILA MWAKA NA KILA SENTI ITAKUWA CHINI YA UDHIBITI MAKINI, SHUPAVU NA ULIOVUKA MIPAKA WA WFP
   
 6. e

  ebrah JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pumba! think pls, we are not kids here!
   
 7. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,075
  Trophy Points: 280
  Mkuu nashukuru kwa kunihahakikishia michango yetu hataangukia mikononi mwa hili dude liitwalo halmashauri angalau kwa mfumo na utendaji wao wa sasa. Hata ripoti ya CAG inathibisha hilo. Sitashangaa tenda zote hadi za ku-supply kunde na makande shuleni ukasikia wamepeana madiwani au mwenyekiti wa halmashauri fulani tena kwa thamani ya mamilioni wakati hata Dada Mkuu tu angeweza kwenda na kapu sokoni na akafanya shoping ya uhakika.

  Hata hivyo kabla ya kuchangia kuna haja ya serikali kutangaza kwamba njaa katika maeneo ya wafugaji ni janga la kitaifa. Hili likifanyika naamini wa-tz wengi watachangia kuwasaidia ndugu zetu hususan watoto wetu walioko mashuleni kwenye maeneo husika.
   
 8. c

  chetuntu R I P

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani hìi ni school feeding programme na lengo ni kupromote watoto wasome huku wakipata chakula shuleni. Hii imesaidia watoto kwenda shuleni . Hufanyika kila mwaka duniani kote. Halmashauri hazihusiki kabisa.
   
 9. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole SANA
   
Loading...