Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Teja la 1. :Mwana hivi unakumbuka kwenye jiografia shuleni tulisoma Mrusi alikuwa wa kwanza kwenda space.
Teja la 2. :Kweli mwanangu umenikumbusha mbali,hivi unakumbuka pia U.S.A wa kwanza kwenda mwenzi?
Teja la 1; Nakumbuka sana mtu,kweli majamaa ni noma kwa ugunduzi
Teja la 3: Oyo masela acheni kuwasifia bure eti wamekuwa wa kwanza kwenda huko,mi nimeamua nitakuwa wa kwanza kwenda kwenye jua(sun)
Teja la 1.; mwana unatuzingua kwenye jua huwezi kwenda inachoma ile kishenzi.
Teja la 2; Mwana acha hizo kule lazima utaungua,naona bangi zimekuzidi
Teja la 3;Nye kweli vilaza,mi lazima nitaenda usiku wakati jua limezama najua sintaungua.